Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu leo ametangaza rasmi kuwa atarudi Tanzania Jumatano Januari 25,2023 saa saba mchana.
Mwasiasa huyo amesema kuwa anatarajia kutua katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam ambapo amesema anarudi kwa ajili ya kazi kubwa ya Katiba Mpya na mwanzo mpya kwa Taifa la Tanzania.
Post a Comment