RAIS DK. SAMIA AZINDUA BOTI ZA KISASA 120 NA BOTI SAIDIZI 118.

 



Na Mwandishi wetu.


RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi na Ugawaji wa Boti kubwa za kisasa 120 pamoja na Boti saidizi 118 kwa nchi nzima.


Aidha, Rais Dk. Samia kwa upande wa Mkoa wa Tanga, amekabishi Boti kubwa 30 kati ya 35 pamoja Boti saidizi 60 kwenye hafla iliyofanyika Pangani Mkoani humo leo, Feb 26, 2025.


Mwisho.






Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post