RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Na Mwandishi wetu.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Feb 20, 2025, amezindua Tume ya Rais ya Kutathimini kuhusu Masuala ya Mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume Rais ya Kutathimini zoezi la Uhamani wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
*Source:Uhuru online*
Mwisho.
Post a Comment