RAIS DK. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA K/KUU YA CCM.

 




MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma tarehe 10 Machi, 2025.







Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post