Na Costantine Mathias, Simiyu.
MWENYEKITI wa UVCCM Taifa (MCC), Mohamed Kawaida amewasili Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya kukagua uhai wa Jumuiya hiyo, kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kufanya Mkutano wilaya ya Itilima.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara ya siku 10 za moto akitolea Mkoani Mwanza ambapo amepokelea kwa nderemo na vifijo huku wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakijitokeza kumraki kiongozi huyo.
Mwisho.
Post a Comment