ENG. KUNDO ACHUKUA NA KUREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA BARIADI MJINI.

 

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mhandisi Kundo Andrea Mathew (kushoto) akimkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Bariadi Ibrahimu Kijanga fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Mjini.


Na COSTANTINE MATHIAS, Bariadi.


ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mhandisi Kundo Andrea Mathew amechukua, akajaza na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Mjini.


Mhandisi Kundo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Bariadi tangu mwaka 2020 mpaka 2025, amechukua fomu ili kutetea nafasi ya Ubunge.


Mwisho.








Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post