JOEL MBOYI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE KISESA.




WAKATI zoezi la uchukuaji fomu za kuomba nafasi mbalimbali za ungozi ikiwemo, Udiwani na Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, likiendelea Mwanacha wa Chama hicho, Joel Mchunga Mboyi amechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu.


Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu hiyo, amesema licha ya kuwa yeye ni kijana mdogo, lakini anamaono makubwa na kwamba yupo tayari kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kisesa.

Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post