Wizara ya Madini Yashinda Tuzo Kipengele cha Nishati, Madini


Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini imeibuka Mshindi Namba 1 katika kipengele cha Nishati na Madini kwenye kilele cha Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Sabasaba.

Asanteni sana wananchi na wadau wote wa Sekta ya Madini mliotembelea katika banda la MADINI PAVILION kujifunza, kuona na kusikiliza.

#Tanzania Mahali Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji.

#Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu. kujifunza, kuona na kusikiliza.
#Tanzania Mahali Sahihi Pa Biashara na Uwekezaji.
#Sekta ya Madini kwa Uchumi Imara na Maendeleo Endelevu.

#GST #STAMICO #TUME YA MADINI #TGC# TEITI, CHAMBER OF MINES #MAMBA MINERALS #GGM

#JITEGEMEE HOLDING, #YAYA RESOURCES #ESAP LIMITED # NKONYA INVESTMENT
Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم