Katika kufanikisha programu ya kampuni ya Barrick ya kuhamasisha wafanyakazi wake kufanya mazoezi mazoezi kwa ajili ya kujenga afya zao, baadhi ya wafanyakazi wake kutoka migodi ya Bulyanhulu na North Mara walishiriki katika mbio za CRDB Marathon zilizofanyika jijini Dar es Salaam katika umbali tofauti.
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com
إرسال تعليق