RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI




Tanga.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni, iliyopo Mkata Mkoani Tanga, leo Feb 23, 2025.


Ujenzi wa Hospitali hiyo umegharimu zaidi ya shilingi Bil. 7 ambapo ujenzi huo unajumuisha majengo 15 ikiwemo Jengo la Mama na Mtoto, Jengo la Mionzi, Bohari, Maabara, Wodi ya Watoto, Chumba Cha kuhifadhia Maiti na Jengo la Upasuaji Mkubwa wa Mifupa na Nyama.


Mwisho.









Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم