JACKLINE ISARO ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA NGOKOLO
0
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jackline Isaro akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Udiwani katika Kata ya Ngokolo Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuchukua leo Juni 28,2025
Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com
إرسال تعليق