KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ussi ameongoza vibe la Mkesha wa Mwenge katika viwanja vya Halmashauri ya wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, leo August 11, 2025.
Katika Mkesha huo wananchi mbalimbali kutoka vijiji vya wilaya ya Itilima wamejitokeza Kwa wingi huku michezo, burudani, kwaya na ngoma mbalimbali zikitumbuiza.
Mwisho.
![]() |






إرسال تعليق