Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoani Simiyu, Iddi Ndabhona (kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bariadi Khalid Mbwana.Na COSTANTINE MATHIAS, Bariadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bariadi, Khalid Mbwana amepokea Mwenge huo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Iddi Ndabhona baada ya kukamilisha Mbio zake.
Ukiwa Halmashauri ya wilaya ya Bariadi, Mwenge huo utakimbizwa kilometa 184 katika Tarafa mbili na kata 8 ambapo utanzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya Maendeleo yenye thamani ya shilingi Bil. 1.5.
Mwisho.





Post a Comment