
Na COSTANTINE MATHIAS, Simiyu.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira amewasili wilayani Meatu Mkoani Simiyu ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Kwa ajili ya kuzungumza na wanachama wa CCM, kusikiliza kero pamoja kukagua uhai wa CCM na Utekelezaji wa Ilani Uchaguzi 2020-2025
Akiwa Meatu, Wasira atafanya kikao cha ndani kwa ajili ya kuzungumza viongozi wa CCM ngazi ya Matawi, Kata, Wilaya, viongozi wa Dini pamoja na wazee maarufu.
Mwisho.

Post a Comment