MKURUGENZI MAUWASA AJITOSA UBUNGE BUCHOSA.



MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (MAUWASA), Mhandisi Nandi Mathias James (kulia) amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.


Mhandisi Nandi alikabidhiwa fomu hiyo leo, Juni 29, 2025, majira ya saa 8:30 mchana katika Ofisi za CCM Wilaya ya Sengerema na Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Rashid Semendu.

Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post