RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA ITILIMA.





Na COSTANTINE MATHIAS, Itilima.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Hospitali ya wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu ambayo itarahisisha na kuwasogezea wananchi utoaji wa huduma za matibabu.

Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Silanga ,  akizungumza mara baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kufungua hospital ya wilaya ya Itilima, amemshukuru serikali kwa kujenga hospitali hiyo yenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu.lm

“Mheshimiwa Rais, Umefungua Hospital ambayo vifaa vilivyopo Mhimbili leo vipo hapa Nguno tuna kila sababu ya kukushukuru Wanaitilima” amesema Njalu.


Mwisho.












Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم