RAIS DKT. SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI UTAKAONUFAISHA WATU 87,000 LAMADI.

 


Na COSTANTINE MATHIAS, BUSEGA.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Mradi wa Maji katika mji wa Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu ambao utanufaisha wananchi zaidi ya 87,000 huku akiwakumbusha wananchi Umuhimu wa kulinda amani na kuchapa kazi.


Mwisho.




Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post