Na COSTANTINE MATHIAS, Simiyu.
MWENGE wa Uhuru 2025, umeingia katika wilaya ya Bariado Mkoani Simiyu ukitokea wilaya ya Itilima Mkoani humo, ambapo utakimbizwa kilometa 54.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Simon Simalenga ameupokea mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Itilima Anna Gidarya na umepokelewa katika mtaa wa Kilulu
Ukiwa Halmashauri ya Mji wa Bariadii, mwenge huo utakagua, Kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya Maendeleo yenye thamani ya shilingi Bil.15.
Mwisho.






إرسال تعليق