Mkali wa Gospel kutoka jijini Arusha anayefanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania Risandi Laizer amekuletea wimbo wake mpya uitwao "Baraka za Mungu"
Hakika utabarikiwa na wimbo huu na utashuhudia baraka za Mungu zikimiminika maishani mwako.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Risandi Laizer Kwa Simu namba +255766200459
Au barua pepe @rlaizer.tz108@gmail.com
Karibu uutazame. Usisahau ku like, ku-Comment na ku-share Kwa wengine.
Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com
إرسال تعليق