PAPA MPYA APATIKANA NA KUTANGAZWA, ANAITWA ROBERT FRANCIS PREVOST.

 



Papa Mpya wa Kanisa Katoliki amepatikana, na kutangazwa Vatican.


Naitwa Robert Francis Prevost kutoka nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa Mmarekani wa kwanza Kushika wadhifa huo.


Robert Francis Prevost mwenye umri wa miaka 69 anakuwa papa Mpya mara baada ya mchakato wa upigaji kura kukamilika, Prevost amechagua Jina la Papa Leo XIV.


Mwisho.




Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post