Na Mwandishi wetu. Geita.
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la MBOGWE, Nicodemus Henry Maganga amechukua na kurejesha fomu ya kuwania kuteuliwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbogwe wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita.
Maganga anachukua fomu hiyo ili kutetea nafasi aliyokuwa nayo ya Ubunge kutoka mwaka 2020 mpaka 2025.
Mwisho.
إرسال تعليق