WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake ((UWT) Mkoa wa Simiyu wamefanya Mkutano Mkuu Maalumu kwa ajili ya kuchagua Wabunge wa viti Maalumu Mkoa huo.
Mkutano huo ambao unafanyika leo katika ukumbi wa Bariadi Alliance, umeongozwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa huo, Mariam Manyangu.
Waliopitishwa kugombea nafasi ya Ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Simiyu ni Ester Lukago Midimu, Minza Simon Mjika, Tinner Chenge, Caritas Koga Machupa, Jane Francis Masanja, Grace Balele Mabula, Rosemary Edward Ng'hwani pamoja na Limi Mhima Kilalo.
Mwisho.
Post a Comment