Na Mwandishi wetu. Dodoma.
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea Mwenza Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi wamechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais.
Fomu za kugombea nafasi hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacob Mwambegele katika ofisi za Tume hiyo Njedengwa jijini Dodoma leo August 9, 2025.
Mwisho.
Je, una Tangazo, Picha za Matukio, Taarifa au Habari ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi 0746057557 au 0765402289 au Email : simiyupresstz@gmail.com
إرسال تعليق