CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimebadili Tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu kwa Wagombea wa Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Uwakilishi na Udiwani.
Katika taarifa kwa Umma iliyotolewa na Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makala, umeeleza kuwa zoezi hili litaanza Juni 28, 2025 saa 2:00 asubuhi na kumalizika Julai 2, 2025 saa 10:00 jioni.

إرسال تعليق