Na COSTANTINE MATHIAS, Bariadi.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU), inazindua Jengo la Ofisi zake lililopo Mtaa wa Nyaumata kwenye Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, leo Juni 10, 2025.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Boniface Simbachawene.
Mwisho.
إرسال تعليق