Na Costantine Mathias, Bariadi
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa Mkoa wa Pwani, Leila Ngozi amewasili katika Jimbo la Bariadi kwa ajili Uwasilishaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa muda wa miaka mitano (2020/2025).
Ilani hiyo, inawasilishwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Mhandisi Kundo Mathew mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Bariadi pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali.
Post a Comment